Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Watu baki [emoji91][emoji91][emoji91]
20220826_210118.jpg
 
Toka sijazaliwa nayajua mahaba
Nimekupenda muda mrefu kabla ya mwanzo wa nyakati na nitakupenda hata wakati kumbukumbu zetu zitafutwa kutoka kwa uso wa Dunia.
Unajua siri za moyo wangu una ufunguo wa kufungua moyo wangu na nina hakika hautapoteza kamwe au utatupa
NAKUPENDA MPENZI Lovelovie toto la kisukuma
Ng'ombe unao?

Bila ng'ombe 40+ kwa huyo malaika hutoboi. Maneno matamu tu hayatakusaidia sana sana wanaukoo tutaishia kukutoa mkuku tu na usharobaro wako 😁😁😁
 

Attachments

  • tapatalk_1533639490807.jpeg
    tapatalk_1533639490807.jpeg
    48.2 KB · Views: 14
Mm ni mtoto wa kiume afu nina akili timamu pia mm nikijana wanguvu afu siogopagi k2 chochote awe mwanaume au mwanamke hayo mm hayanihusu humu JF nimeingia kwaajili ya kubadilishana mawazo na kupiga storya hizo fikra zingine achaneni nazo tupige soga tu maisha yaendelee
Mdomo koma [emoji40]
 
Good morning kwa wanaselfika wote! Saint Anne Lovelovie Mjep Lizzy Depal Lenie Shimba ya Buyenze Ntiluseswa Wigelekelo raraa reree sophy27 National Anthem Post M-alone Mshana Jr Carrasco putin cocastic mawardat Surbi ! MPAKA SASA JUMAMOSI BADO SIJAHESABIWA NA DALILI HAZIONESHI KAMA NTAHESABIWA VP WENZANGU MMESHAHESABIWA!
Nimemuelek3za karani wako Antonnia afike kwenye kaya yako leo mapema nadhani yuko njiani vuta subira leo taarifa zako zitachukuliwa chief

Habari za asubihi
 
Back
Top Bottom