Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

i
Screenshot_20220823-212926_Instagram.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akuuuuh huyo size yako eti, mie single person suguuu. Sitaki heka heka za maloveee, mie ni kula, kulala na kuswampaaaaa.

Kusubiri kufa kazi shougaaaareeee angu.
Mie tena wee shoss Uwiii!!!!? Huyo saizi yenu mabinti mie wajua kabisa napambana na hali yangu hukuu !!😉
 
Nimfotoe,Nikatupie kwenye uzi wa vituko vya sensa[emoji23]


Home walikutana na dogo,yeye kasema kila alichokuwa anaulizwa amejibu hatuna[emoji23]

Nyumba ina vyumba vingapi vya kulala??

Taka mnachoma au mna shimo??

Kuku?

TV?

Umeme?

Bomba?

Kisima?

Paso/mkaa au umeme?

Radio??

Jiko??


Ningekuwepo daah,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makarani wa Sensa wana bahati sanaaa, ningewafurahisha mbna.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afanane name atambeeee??? Huyo mamdo ako, yuko too pasono.
Kweli wanafanana mnoo!!
Kwa mapouuzzz tu hamjambooo!!Yani Siwapatiii picha kabisa!!
Santo sana kwa kuibles jmos yangu shoss!!😘😘😘♥️
 
Kweli wanafanana mnoo!!
Kwa mapouuzzz tu hamjambooo!!Yani Siwapatiii picha kabisa!!
Santo sana kwa kuibles jmos yangu shoss!![emoji8][emoji8][emoji8][emoji3531]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shouzzzzzz acha baaas nawee, nimekubariki Jmos yako.
Enjoy it.
 
Back
Top Bottom