Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,862
😂😂😂😂😂🙌 emu lala kabla hujamlaza na yeye kwa mawazoAsbh akiamka atakutana na invoice yake
😂😂😂😂😂🙌 emu lala kabla hujamlaza na yeye kwa mawazoAsbh akiamka atakutana na invoice yake
😋😋😋😋😋😋😋😋Unga robo
Mayai 4
Mafuta robo
Vannila kijiko 1 cha chakula
Sukari robo
Blueband robo
Hiliki ya unga kijiko 1
Saint Anne kwa makaa.View attachment 2330707View attachment 2330708
Nimekupikia kitu cha tambi mayai sema bahati mbaya niliunguza sasa nataka nikupikie huo mkate sema sina mkaa na kuni nifanyeje?Ukimaliza mapishi selfika mkuu!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🙌 emu lala kabla hujamlaza na yeye kwa mawazo
Unaongea na mie au wapishi 🤔🤔🤔???Nimekupikia kitu cha tambi mayai sema bahati mbaya niliunguza sasa nataka nikupikie huo mkate sema sina mkaa na kuni nifanyeje?
Oven sijui,Unapikaje sasa kwa mtu asiye na mkaa au kuni!
Naongea na wewe leo najifunza kupika ili tukianza maisha yetu tusiajiri housegirl kabisa! Nataka niwe nakupikia chai, cha mchana na cha usiku! 😍❤️💕🤗Unaongea na mie au wapishi 🤔🤔🤔???
[emoji7][emoji8][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Napenda kekii[emoji7]
Uwiii nimetamani[emoji1786][emoji1786]Unga robo
Mayai 4
Mafuta robo
Vannila kijiko 1 cha chakula
Sukari robo
Blueband robo
Hiliki ya unga kijiko 1
Saint Anne kwa makaa.View attachment 2330707View attachment 2330708
Unipikie mie vipi tena wee poker usinleteee matatizo mieeee🙌🙌🙌🙌🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🤭🤭!!! Nakupa shos angu cocastic 😉Naongea na wewe leo najifunza kupika ili tukianza maisha yetu tusiajiri housegirl kabisa! Nataka niwe nakupikia chai, cha mchana na cha usiku! 😍❤️💕🤗
Atakuwa PepChelshit wanajidai wako bize ati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mdogo wake mtu anajikuta yupo bize na kilimo cha mbogamboga
Wamekuwahi[emoji16][emoji16]Uwiii nimetamani[emoji1786][emoji1786]
Yangu nimeamka asubuhi nikakuta sahani tupu[emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Junia kapita nayo ama?? Hahaha ... wangekuachia kidogo mpishiUwiii nimetamani[emoji1786][emoji1786]
Yangu nimeamka asubuhi nikakuta sahani tupu[emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Weeee hapo wewe ndio utakua mwanafunzi weeeehhh shos kwa mizagamuo hatareeeee !! Lazima Uombe poo ni yuko vizure balaaaMwanafunzi huyo naogopa kesi!
Itakuwa kazuiwaHahahaaa... shauri yenu sis mkilogwa ndio akili itawakaa sawa!
Pole sana sis tatizo nini!!!??
Umetumia dawa??
Afu sikuhizi umekua mgumu sana wa kuselfika sis akeee [emoji849][emoji849]!!
Hahahaaa.... msiwafanyie Hivooo jammaniii!! Sasa picha mtu unafaudu nini jamani!! 😎🙄!!Itakuwa kazuiwa
Watu wana gubu
Wanadhani tunafaudu
Kumbe wala
Maelezo ya niniUnavyonipenda sasa
Umefuraaaaaahi
Mwalimu yayanga🤭🤭 In nshomiles voice 🤣🤣🤣!;Mwache asome kwanza! Hitaji langu kwa sasa ni wewe mwalimu Antonnia uje unifundishe biology ya mwanamke! ❤️😍🤗💕