Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Snap it & show it
20220817_182955.jpg
 
Hahahaaa... shauri yenu sis mkilogwa ndio akili itawakaa sawa!
Pole sana sis tatizo nini!!!??
Umetumia dawa??
Afu sikuhizi umekua mgumu sana wa kuselfika sis akeee [emoji849][emoji849]!!
Ccy huku kwetu tunauza uchawi ni mtu anahitaji kilo au nusu........ Jana sijalala na Leo sijapumzika
 
Back
Top Bottom