Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Cunajua sina babamba nyingi in cocastic voice ntakupenda na kukujali kibosibosi kama Mjep ntakulinda na wabaya wetu akina Surbi ntakuombea dua usiwe na hasira za Lovelovie ila uwe na subra na upole wa Shimba ya Buyenze. Ntakupeleka kuinjoy Zanzibar kwa akina Lizzy huko ntakununulia misosi ya maana kama ya Saint Anne, wanga wakiona wivu ntaongea na Mshana Jr atupe kinga. Ntawaita wapambe wangu akina Carrasco putin waje wakupe maneno ya kheri na faraja. Ntalilinda penzi letu kama urafiki wa Depal na Lenie. Ntalike kila kitu kwenye maisha yako kama mkwepu jr na myoyambendi . With regards madam teacher Antonnia i love you kwa sana!
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Bossii wangu anitosha mie 💃💃💃💃 Sitaki hekaheka zenu Vijana mamboleo !!!!!
 
Tuchel ana mawazo… 😂😂

Yan tokea mechi imeanza ule mzuka sikuwa nao.. na nikihisigi tu wasi wasi basi hicho kitu hakita work out

Hublot ⚽️

We loose 😭
Chukulieni kuwa Leo ilikuwa siku mbaya kazini. Uzuri ligi ni marathon naamini mna nafasi ya kufanya marekebisho bado
 
Back
Top Bottom