Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,518
- 235,230
Chelshiiiit😂😂😂😂😂😂😂😂Hatuteseki
Tena leo hatujaonewa
Ndio hata haiumi
Chelshiiiit😂😂😂😂😂😂😂😂Hatuteseki
Tena leo hatujaonewa
Ndio hata haiumi
Baba mtumishi Pep ,kaptura kama hizi huwa unavaaa?Miaka 3 nyuma.Chelewa.View attachment 2330555
Ungejua madam😂😂😂😂😂😂😂😂Eendiwoooooooo!!!!
Tukomesheee tukomesheeee!! Watu na watu waooooo
Wauweeeehhhhh!!💃💃💃💃
Kama wewe Manure sijui unatoa wapi nguvu ya kuongea..Ww dawa yako iko jikoni. Kesho tuna jambo letu na nyie
💃💃💃💃💃💃💃💃! Majuzi Nilimuona humu dakika sifuri kapotea tena!! Msalimie sana asee!!Ungejua madam😂😂😂😂😂😂😂😂
Kumbe yupo!💃💃💃💃💃💃💃💃! Majuzi Nilimuona humu dakika sifuri kapotea tena!! Msalimie sana asee!!
Hujatupia tena ile trauza ya jeans nione utege mdogo wangu??🤔🤔 Fanya kuibles Jioni yangu jamanii!! selfika mmekua wagumuuuuu kuselfika kweri kweri!Kumbe yupo!
Aiseee nimemmiss...
Ngoja tuendelee kumwita,,huenda akaja
🤣🤣🤣Baba mtumishi Pep ,kaptura kama hizi huwa unavaaa?
Nataka nikununulie😂😂😂😂😂😂😂😂
Lile tege kuna namna linazuia wingu la pichaHujatupia tena ile trauza ya jeans nione utege mdogo wangu??🤔🤔 Fanya kuibles Jioni yangu jamanii!! selfika mmekua wagumuuuuu kuselfika kweri kweri!
Nilitoka bana 😂Hata mm naona
Samaleko jirani!! ✋🤣🤣🤣
Unavyonipenda sasaSentensi ya mwisho
Imenichekesha
Weeeeeeeehhh tena huwa linakutoa vizuree balaaa!! Na uhips kama woteee!!Lile tege kuna namna linazuia wingu la picha
Hips ya mchongoo mchongoma😂😂😂😂😂😂😂😂Weeeeeeeehhh tena huwa linakutoa vizuree balaaa!! Na uhips kama woteee!!
Nyigu sasa awwwwwwwwwww!!!💃
MpoooHips ya mchongoo mchongoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tubariki boss ledi..huenda kuna namna wingu linamleta Baba mtumishi.
Nakaa hapaChelshiiiit😂😂😂😂😂😂😂😂
Nasubiria utege kwanza Anne umeanza siasa ujue! Niko hapa nasubiria 🙇Hips ya mchongoo mchongoma😂😂😂😂😂😂😂😂
Tubariki boss ledi..huenda kuna namna wingu litamleta Baba mtumishi.
Mambo ya weekend ccyPole sana sis ni mambo ya weekend au mgonjwa!!???
Ukipata muda pumzisha Akili kidogo sis akee!!