Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,200
Halafu NaweweItakuwa kazuiwa
Watu wana gubu
Wanadhani tunafaudu
Kumbe wala
Msukuma Hujaselfika
Kitambo sana
Ujue
Sijui unakwama
wapi 🤔🤔!!
Halafu NaweweItakuwa kazuiwa
Watu wana gubu
Wanadhani tunafaudu
Kumbe wala
Umenikaa kichwani sana Antonnia ndoto zangu ni kuwa na wewe! Nataka unifundishe proper love cycle. Nibless basi nikuone!Mwalimu yayanga🤭🤭 In nshomiles voice 🤣🤣🤣!;
Mwalimu siooo ... saizi yako hao ndio wanakufaaa wewe sharobaro bishoo kama wao!!
Mwalimu waachie wazee buana 😂😂🤣🤭🤭!
Achana hizi habari za kiwaki wewee hebu selfika bana!
Mie sina bando la kuupload picha sikuhizi !
Bossi wangu ananitoshaa mie sitaki hekahekaa! 👈👈🙌🙌
Punguza makasiriko

Chizi weweAisee🤣😂🤣😂Maelezo ya nini
Inafahamika hivyo
Halafu au bhas
Nakuja nakuja kaa hapo hapoHaya Nipo sis njoo unibless usiku Wangu uwe mzuri sis!![]()
Nipo hapa Sitoki sis fanya wepesi kabla sijapitiwa na usingizi kipenzi!!Nakuja nakuja kaa hapo hapo
Mwenyekiti nakusalimu halafu usitokeNipo hapa Sitoki sis fanya wepesi kabla sijapitiwa na usingizi kipenzi!!
Shepu ileHahahaaa.... msiwafanyie Hivooo jammaniii!! Sasa picha mtu unafaudu nini jamani!!!!

Salamu nimezipokea kwa bashasha zote katibu happy to see you again...Mwenyekiti nakusalimu halafu usitoke
Punguza makasiriko
Utapata vidonda vya tumbo bure
Asenali wameingiaje kwenye utopolo wenu![]()

mbona hamjiamini nyie SijaogaHalafu Nawewe
Msukuma Hujaselfika
Kitambo sana
Ujue
Sijui unakwama
wapi!!
Nakuja ccyHaya Nipo sis njoo unibless usiku Wangu uwe mzuri sis!![]()
SawA ccyUsiwaze sis tubless ivoivoo!!![]()