Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,480
- 203,146
Na wana bahati sanaMan City wakupigwa tatu kweli![]()
Na wana bahati sanaMan City wakupigwa tatu kweli![]()
Huo muda nitakuwa nimelala.Acha usumbufu dogo Saint Anne
Unajiamini Sana kesho usipotee hewani na genge lako la wachambuzi kwa kiingereza cha ujanja ujanjaPale nafasi yake asanteni mmetuwekea magwaya
Hakuna kilichoharibika..Magwaya yupo forward pale
We asenali nawe tulia hali yako pia Ni ya mashakaNa wana bahati sana
Hii mechi liver wote kasoro Klopp,tumewaombea sana mtufunge.Unajiamini Sana kesho usipotee hewani na genge lako la wachambuzi kwa kiingereza cha ujanja ujanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Liver timu ya kishua🤣😂🤣😂Unajiamini Sana kesho usipotee hewani na genge lako la wachambuzi kwa kiingereza cha ujanja ujanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Man ShyteeeeMan City wakupigwa tatu kweli![]()
Game gani?Hii game unaichukuliaje lakini? Unahisi itakuwa nyepesi
Kwanza ngoja niende uzi wenu nikatengue mbavu zangu
Emu selfika bwana wee
SawA ccy ntakutumia sema hizi siku mbili tatu sijapiga picha kabisa ntakuangalizia hata za nyumaHongeraaa! Usisahau kujisnap ukuje kutupia nahuku sis akee!!
😂😂😂 nice trialUnga robo
Mayai 4
Mafuta robo
Vannila kijiko 1 cha chakula
Sukari robo
Blueband robo
Hiliki ya unga kijiko 1
Saint Anne kwa makaa.View attachment 2330707View attachment 2330708
Safi sanaa kijana wa Manjestaa
Binti wa asenane mimi mzee hili umbo dogo tuSafi sanaa kijana wa Manjestaa