Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Shepu ile

Taqo lile

Guu zito

Sura ya kitoto

Unategemea nini[emoji848]
Hahahaaa .. Mkiwazuia selfika itapotea mazima sasa acheni hio mambo msukuma!!!.
Jiachieni kama zamani buana!! Maisha yenyewe ya kubanana yako wapi sasa !!😉😉😉
 
Hahahaaa .. Mkiwazuia selfika itapotea mazima sasa acheni hio mambo msukuma!!!.
Jiachieni kama zamani buana!! Maisha yenyewe ya kubanana yako wapi sasa !![emoji6][emoji6][emoji6]
Mimi muuza maji tegeta kwa ndevu

Nimbane nani humu[emoji848]

Nipo nipo tu

Sina jambo yaani
 
Back
Top Bottom