Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅🤣🤣🤣Nimejaribu kupika tambi mayai leo ila tambi upande mmoja hazijaiva na upande mwingine zimeungua 😞 mwenye kujua kupika tambi nzuri naombeni muongozo!View attachment 2330638
Unawasubiri manure kweli?Lemme zip my mouth 😂😂😂
Ndugu yangu Poker..Nimejaribu kupika tambi mayai leo ila tambi upande mmoja hazijaiva na upande mwingine zimeungua 😞 mwenye kujua kupika tambi nzuri naombeni muongozo!View attachment 2330638
Unatakiwa uchemshe kwa maji mengi kisha uzichuje zikishalainika.Nimejaribu kupika tambi mayai leo ila tambi upande mmoja hazijaiva na upande mwingine zimeungua 😞 mwenye kujua kupika tambi nzuri naombeni muongozo!View attachment 2330638
Litimu halijiheshimu kabisa yaani
Tunasubiri woteUnawasubiri manure kweli?
Utakula nini sasa jamanTena huo ndio njaaa inazidi
Kesho hutaamini yaaniKama wewe Manure sijui unatoa wapi nguvu ya kuongea..
Confidence unaitoa wapi ..wale nyumbu hakuna kitu watafanya😂😂😂😂😂😂😂😂
Ligi haijaisha mkuu usichonge sanaNiliwahi sema huku mashabiki wa chelsea wataishi kama mashetani! Hziyech22 View attachment 2330463
Fridge saved me 🤪Utakula nini sasa jaman
Ungeona usiku mrefu leo, mshukuru aliyejaza fridge😁Fridge saved me 🤪
Depal tunashukuru kwa kutujazia furiji 😂😂😂😂Ungeona usiku mrefu leo, mshukuru aliyejaza fridge😁
Au hizi timu kubwa sio mbovu. Pengine hzi timu ndogo zimekuwa boraNilitoka bana 😂
Kumbe ngoma ilirudi na chenji
Kesho dogo majira ya saa nne usiku saa za afrika mashariki utakua getoni kwangu old trafford nikukande bao 3
Hadi umetoka mafichoni, kweli imepenya![]()

inauma siunajua kipenda roho Pole
Ama kweli adui muombee njaa. Sio kwa unavyofurahia