Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,196
Hongeraaa! Usisahau kujisnap ukuje kutupia nahuku sis akee!!Mambo ya weekend ccy
Hongeraaa! Usisahau kujisnap ukuje kutupia nahuku sis akee!!Mambo ya weekend ccy
Waalaykum Salam jirani, hujambo wewe..Samaleko jirani!! ✋
Likewise dear niko njema sana!!Nikopoa madam vip wew mzima
Mie Sijambo kabisa jirani!!Waalaykum Salam jirani, hujambo wewe..
Mapema sana hata kunguru hawajaanza hata kukoloma.Usiku mwema wapendwa!!
Kesho nayo ni siku!!
Mpooo
Mapema sana boss ladyUsiku mwema wapendwa!!
Kesho nayo ni siku ✌️✌️✌️✌️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️!!
Mapema sana boss ladyUsiku mwema wapendwa!!
Kesho nayo ni siku ✌️✌️✌️✌️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️!!
Hatareeee tupu.
Morning to Mjep myoyambendi Carrasco putin Ntiluseswa Shimba ya Buyenze Mshana Jr Wigelekelo Surbi mawardat Lovelovie Tayana-wog cocastic Antonnia Saint Anne Heaven Sent Alayna Lizzy raraa reree MALCOM LUMUMBA bila shaka mmeamka poa kabisa #MLETEE MDHUNGUUU




mleteeee mthunguuuuu!!!!Ulifichwa wapi?Vocha toleo la pili.
Unakwama wewe Unatuuliza sisi tena mkuu!!!???
Tuendelee kuselfika wakuu acheni hizi porojo wa kukulana wakulane kwaraha zao wa kuselfika waselfike wa kupiga story wapige story, wa kuchekesha wachekeshe, wa kuburudika waburudike wa mapishi wafundishane mapishi wa kuwowana wawowane. Wa kupigiana pin wapigiane who cares???Tusipangiane cha kuandika/ maisha!
Akili ku mkichwa.






hatareeee tupu.