Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,502
- 203,205
Tulia kijana wanguAma kweli adui muombee njaa. Sio kwa unavyofurahia
Kwanza selfika
Tulia kijana wanguAma kweli adui muombee njaa. Sio kwa unavyofurahia
Mm nasema tusubiri dk 90 zibonge hiyo kesho. Kuna watu watapotea hapa selfika🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwani Carlos Tevez anasemaje
Kesho 20:30 mtanange utaanzaMm nasema tusubiri dk 90 zibonge hiyo kesho. Kuna watu watapotea hapa selfika
Ni hawahawa nyumbu akina Maguire au mna timu nyingine?🤣😂🤣😂Kesho dogo majira ya saa nne usiku saa za afrika mashariki utakua getoni kwangu old trafford nikukande bao 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mtanange hapo.Kesho 20:30 mtanange utaanza
😂😂😂😂 🙌Hakuna mtanange hapo.
Tunaenda kuwakimbiza tu uwanjani hawa nyumbupori.
Yaani kabisa na nyie mnasubiri Akina Maguire wakimbie dakika 90?Aisee🤣😂🤣😂Mm nasema tusubiri dk 90 zibonge hiyo kesho. Kuna watu watapotea hapa selfika
Saa 4 kamili ww andaa tu popcorn ushuhudie tunavyomnyonyoa jogooKesho 20:30 mtanange utaanza
Hii game unaichukuliaje lakini? Unahisi itakuwa nyepesiYaani kabisa na nyie mnasubiri Akina Maguire wakimbie dakika 90?Aisee🤣😂🤣😂
🤣🤣🤣 muoneDepal tunashukuru kwa kutujazia furiji 😂😂😂😂
Kesho mnakaa mapema Sana na hivi lile lichora tatoo mwili mzima Kama limevaa magazeti halitakuepoNi hawahawa nyumbu akina Maguire au mna timu nyingine?![]()
Bad girl riri 🤪
Vile Allison anaenda kupumzika kesho.😂😂😂😂 🙌
Ni Magwaya huyuhuyu ananyoa jogoo au mna mwingine?Saa 4 kamili ww andaa tu popcorn ushuhudie tunavyomnyonyoa jogoo
Huo muda naangaliaga yalaitiSaa 4 kamili ww andaa tu popcorn ushuhudie tunavyomnyonyoa jogoo
Pale nafasi yake asanteni mmetuwekea magwayaKesho mnakaa mapema Sana na hivi lile lichora tatoo mwili mzima Kama limevaa magazeti halitakuepo
Sent using Jamii Forums mobile app