Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,887
- 147,460
Huku mtaani[emoji16]Ulifichwa wapi?
Huku mtaani[emoji16]Ulifichwa wapi?
Funguo kibao km mhudumu wa guest, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tMlo wa 5,, bado wa 6View attachment 2330381
Mazab zab anataarifa kweli?😂Huku mtaani[emoji16]
Wanatufungia wapi sasa hawa jamaaNakaa hapa
Nawangoja
Kesho mapema sana naset reminder
Mimi na mtumishi mwenzangu tunasubiria boss ledi atupie mamboNasubiria utege kwanza Anne umeanza siasa ujue! Niko hapa nasubiria 🙇
Bina huyooooMpooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeh.Cunajua sina babamba nyingi in cocastic voice ntakupenda na kukujali kibosibosi kama Mjep ntakulinda na wabaya wetu akina Surbi ntakuombea dua usiwe na hasira za Lovelovie ila uwe na subra na upole wa Shimba ya Buyenze. Ntakupeleka kuinjoy Zanzibar kwa akina Lizzy huko ntakununulia misosi ya maana kama ya Saint Anne, wanga wakiona wivu ntaongea na Mshana Jr atupe kinga. Ntawaita wapambe wangu akina Carrasco putin waje wakupe maneno ya kheri na faraja. Ntalilinda penzi letu kama urafiki wa Depal na Lenie. Ntalike kila kitu kwenye maisha yako kama mkwepu jr na myoyambendi . With regards madam teacher Antonnia i love you kwa sana!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwani Carlos Tevez anasemajeNi matumizi mabaya ya nguvu zako kungoja Nyumbu watufunge
Wanatufungia wapi sasa hawa jamaa
Acheni kusubiri meli kwenye stand ya daladala🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwani Carlos Tevez anasemaje
Dogo jiheshimu [emoji614]Ni matumizi mabaya ya nguvu zako kungoja Nyumbu watufunge
Wanatufungia wapi sasa hawa jamaa
Situlii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaa kwa kutulia dada.
Hadi umetoka mafichoni, kweli imepenya 😂😂😂
Lemme zip my mouth 😂😂😂Acheni kusubiri meli kwenye stand ya daladala
Hebu kuweni seriousAisee🤣😂🤣😂
Mzabzab yupo lindoMazab zab anataarifa kweli?[emoji23]
Tena huo ndio njaaa inazidiNilidhani utakua umeshiba mpira😂