Carlos Tevez
JF-Expert Member
- Jun 8, 2022
- 383
- 1,021
Soma hiyoNitakuwa hapa live kukupa update
Soma hiyoNitakuwa hapa live kukupa update
Nijibu Kwanza Wee ni mwanamke au mwanaume??? Avatar gani hio?? Au wee shogareee???Wewe unamsonya nani vile?
😂😂😂 ligi bado mbichiiiiUtahama hama mpaka uchoke. Mwishowe utaacha kushabikia.
Pole. Goli la tatu
Ten yangu imepotea hapa maana nimewawekea hata mtoe draw ila kwa hapa imeisha.
Yeah ila hii ya leo mmekufa.😂😂😂 ligi bado mbichiiii
Tulia
hahahaaa!! Wenye speed zao Wamemtoa KO hapaa kwenye marathon za vocha kaishiwa hadi pozi😂😂😂🤣🤣🤣!!🤭Wewe unamsonya nani vile?
Umbea tuuNiliwahi sema huku mashabiki wa chelsea wataishi kama mashetani! Hziyech22 View attachment 2330463
Wewe na Antonnia nyampua wakoNajua unajua ila unataka kunitoa kwenye reli kwanini umsonye Antonnia kipenzi changu tulizo la moyo wangu!









!!Mr vocha umetuletea matatizo hukuuu!! Mtu kakosa vocha makasiriko yote amalizia kwangu jamaniii!! 😂😂😂😂🤣🤣🤭🤭🤭🤭!!Wewe na Antonnia nyampua wako!!
Cunajua sina babamba nyingi in cocastic voice ntakupenda na kukujali kibosibosi kama Mjep ntakulinda na wabaya wetu akina Surbi ntakuombea dua usiwe na hasira za Lovelovie ila uwe na subra na upole wa Shimba ya Buyenze. Ntakupeleka kuinjoy Zanzibar kwa akina Lizzy huko ntakununulia misosi ya maana kama ya Saint Anne, wanga wakiona wivu ntaongea na Mshana Jr atupe kinga. Ntawaita wapambe wangu akina Carrasco putin waje wakupe maneno ya kheri na faraja. Ntalilinda penzi letu kama urafiki wa Depal na Lenie. Ntalike kila kitu kwenye maisha yako kama mkwepu jr na myoyambendi . With regards madam teacher Antonnia i love you kwa sana!Matatizo hayaa mkuu 🙌🙌🙌🙌🙌🙌!🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️
Vijana siwaweziiii mie🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️!!
Nilikuwa nawaza hapa leo mtasingizia nn. Hatimaye mmepata cha kusingiziaKocha wa Leeds kwanini kavaa suruali imembana hivyo? Kaja kutuchawia
Carlos Tevez