Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mlo wa 5,, bado wa 6
JPEG_20220821_153955_8004024788858511370.jpg
 
Mimi nikikumbuka vicheko vyangu Kwenye vunues zenye maelfu ya watu pale Udom akiyanani nacheka Tena😂🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna dada nilikuwa nakaa naye ibadani,yaani akicheka na mimi nacheka Kwa sababu ya kicheko chake.
Nikicheka namchekesha Tena,akicheka watu wote wanaanza kucheka kwa vicheko vyetu😂😂😂😂
Sisi tunasinga mbele na vicheko kama injili.

Yaani huko Whatsapp nikikutana naye nivicheko Kwa kwenda mbele kama mambumbumbu hivi .


Na vile kujibana siwezi yaani unakuta nimeachama hadi mwisho🤣🤣🤣🤣
🤣🤣
 
Back
Top Bottom