Unakwama wewe Unatuuliza sisi tena mkuu!!!???
Tuendelee kuselfika wakuu acheni hizi porojo wa kukulana wakulane kwaraha zao wa kuselfika waselfike wa kupiga story wapige story, wa kuchekesha wachekeshe, wa kuburudika waburudike wa mapishi wafundishane mapishi wa kuwowana wawowane. Wa kupigiana pin wapigiane who cares???
Tusipangiane cha kuandika/ maisha!
Akili ku mkichwa.