Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nakupinga.

Ndio nipo mtandaoni na ninafaa kuwa mke,

Lkn mitandaoni wengi ni waigizaji ndugu ukijichanganya utajiona mkosaji kila siku,

Wema wapo na wabaya ni wengi sana humu mitandaoni,,

Hivyo,oa olewa na mtu ambae unajua historia yake na ukoo wake,
"oa/olewa na mtu unayejua historia yake"

Mkuu unaishi enzi ya ujima Sana,enzi zile familia Fulani inachunguza familia Fulani kisha inakaa na mtoto wao na kumwambia Ile familia/ukoo wako vizuri Sana,wanalima,siyo wavivu na pia hawana roho mbaya

Hivi Zama hizi mfano Mimi nipo nafanya mishe zangu huko mwanza na kwetu ni Morogoro unadhani nitarudi Moro kuoa? Mke /mume mara nyingi anapatikana pale unapoishi/fanya kazi..Zama za kurudi vijijini kwenda kutafuta mke zimepitwa na wakati

Unaishi nyuma ya muda mawardat!!

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
She want a gangster in her bed tonight
She ah want me, me I know🛌

And man I full ground me I dey tonight
She ah calling my phone ☎️

Oh, she say why you so unruly
Tell me the main reason you want ruin me 🥹
Mmh-mmh, dem man with da ED
Curious girl, she got questions for Siri

… Wiggle dat booty and whine for me 🤸🏻‍♀️
So crazy you driving me😋
Girly put it on me nicely🙈
She riding it, I'm sliding it 🏄
Spread your two legs slightly
Or mama spread them so widely😴
Caribbean girl want die for me😻
She haffi die for me, yeah, yeah

… Bounce your body or we bounce you out
Girlie go down, North to South🤸🏻‍♀️
 
"oa/olewa na mtu unayejua historia yake"

Mkuu unaishi enzi ya ujima Sana,enzi zile familia Fulani inaochunguza familia Fulani kisha inakaa na mtoto wao na kumwambia Ile familia/ukoo wako vizuri Sana,wanalima,siyo wavivu na pia hawana roho mbaya

Hivi Zama hizi mfano Mimi nipo ndy nafanya mishe zangu huko mwanza na kwetu ni Morogoro unadhani nitarudi Moro kuoa? Mke /mume mara nyingi anapatikana pale unapoishi/fanya kazi..Zama za kurudi vijijini kwenda kutafuta mke zimepitwa na wakati

Unaishi nyuma ya muda mawardat!!

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hatari lakini salama
 
Aya ya mwanzo umesound kama mzee wa enzi za uhuru.

Aya ya pili utandawazi huu hapa

Hatari sana
 
"oa/olewa na mtu unayejua historia yake"

Mkuu unaishi enzi ya ujima Sana,enzi zile familia Fulani inaochunguza familia Fulani kisha inakaa na mtoto wao na kumwambia Ile familia/ukoo wako vizuri Sana,wanalima,siyo wavivu na pia hawana roho mbaya

Hivi Zama hizi mfano Mimi nipo ndy nafanya mishe zangu huko mwanza na kwetu ni Morogoro unadhani nitarudi Moro kuoa? Mke /mume mara nyingi anapatikana pale unapoishi/fanya kazi..Zama za kurudi vijijini kwenda kutafuta mke zimepitwa na wakati

Unaishi nyuma ya muda mawardat!!

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kila mmoja na maono yake. Hakuna cha ujima wala bla bla nyingi.

Kila mmoja ana imani na maono yake juu ya kitu au watu flani.

Nyote muko sahihi kwa imani zenu na maono yenu.

Swala la ujima sijui ukale,halina nafasi.
 
"oa/olewa na mtu unayejua historia yake"

Mkuu unaishi enzi ya ujima Sana,enzi zile familia Fulani inaochunguza familia Fulani kisha inakaa na mtoto wao na kumwambia Ile familia/ukoo wako vizuri Sana,wanalima,siyo wavivu na pia hawana roho mbaya

Hivi Zama hizi mfano Mimi nipo ndy nafanya mishe zangu huko mwanza na kwetu ni Morogoro unadhani nitarudi Moro kuoa? Mke /mume mara nyingi anapatikana pale unapoishi/fanya kazi..Zama za kurudi vijijini kwenda kutafuta mke zimepitwa na wakati

Unaishi nyuma ya muda mawardat!!

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Basi kwetu bado ipo hivyo,siwezi tu kubebana na mtu fb nimpeleke kwetu. Itabidi nitolee maelezo yaliyoshiba haswaaa,

But mshilikishe Mungu kwa hili jambo,,,,maana ndoa sio kitu cha mzaha.
 
Mimi mzima sn madam lenie

Sasa tutakuwa pamoja,nilikuwa bize kidogo,Ingawa kuna mtu huko juu alisema wengine tumekatazwa kuingia jf tumeshapata wachumba.. Surbi MUNGU anakuona
Mungu Ananiona kila siku !!Hio kauli inaonekana Imewachoma sana eehh!!! Kwani ni kweli mmekatazwa??? Mbona mnaichukulia siriaz ivo jomoneee!!!! Poleni bana naona imewaingia inawachoma hadi kunakooo!!

Mshashauriwa Hapo na warda nyie jichanganyenii!!
 
Back
Top Bottom