Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Picha ziendelee dadaa!
Miss you sana sis mwenye uzi wake!!

Sikuhizi unaingia kwa machale sana humu dadaa Msalimie aliekuficha!!
Haya hebu nibariki dadako jumapili yangu iishe vizuri mdogo wangu !

Sina hata wa kunificha kipenzi mrashia anarudi December!!💃💃💃!!🤸🤸🤸🤸🤸 Nasubiria selfii hapa 🙇
 
Uiuuhh aii mama jamani mbona we mzuri hivyooo?

Uuuh aii mama unavyoringa sasa sio shida zako hizo..

Uuuh aiii mama jamani mbona we mzuri hivyo?

Uuuh aiii mama nakusifia ringa, vimba bichwa kama pulizo 😂😂

Ukicheka.. mzuriii
Ukinuna… mzuriii
Lenie
Ukiringa.. mzuriii
Naona umetumiwa dedikesheni na shem darling
 
Haya hebu nibariki dadako jumapili yangu iishe vizuri mdogo wangu !

Sina hata wa kunificha kipenzi mrashia anarudi December!!!! Nasubiria selfii hapa
kha wewe wa kukosa wa kukuweka bize kweli dadaa acha kutuzeveza!
Sina picha mpya dadaa badae nitaweka!!

Una selfii karibu hapo nikuone kabla sijaenda kuzurura dadangu mzuri mzuri??
 
😁
Saint Anne unachekaga kama Punguani eti
Lenie
EAAECB3D-F868-4E52-87D1-58BB500E360A.jpeg
Ujifunze kucheka 😁
 
kha wewe wa kukosa wa kukuweka bize kweli dadaa acha kutuzeveza!
Sina picha mpya dadaa badae nitaweka!!

Una selfii karibu hapo nikuone kabla sijaenda kuzurura dadangu mzuri mzuri??
Nyoooooooooohhhh! zako huweki mie ndio nikupe!! Setakeeeee🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️👋👋👋👋👋!!
 
Back
Top Bottom