Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Unaenda ama unarudi

Unaenda ama unarudi

Mtumishi wa UmmaSijali![]()


Si unaelewaHehee
Hiyo ni asili.. itaendelea tu kuwa hivyo..
Kumbe kuna watu wanapata wake humu? Sasa mm nakwama wapi Pau Bae ?Humu Watu wakishaji-engage kwenye love affairs na tu kwisha habari yao!
Wanaanza kuoneana wivu with lots of limitations! Full kuchat kwa step, full kupunguza kujiachia , full makasiriko ya hapa na pale,!! Shortly ni full of less freedom!
Ukitaka kuwa huru na kujiachia utakavyo here just mind your own fuckng business na achana habari za malovee!.
#OpinionsAreNotFact
Alamsiki!!


Naishi kisela,mie sio mselaKwahyo we ni msela ?
Kwani wewe haujapata mchumba humu? Usisingizie ubosiInasemekana majobless ndio uwa wanashinda hapa,, itakuwa wamepata kazi ya sensa ndio wako bize
Mtu kama Lenie ni boss sana, akiwa busy sishangai..
Sisi pia wengine na kina Wigelekelo ni mabosssssss huku kwa muhindi, kuna nyakati tunakuwa bize balaaa
Afu kuna wale wa matipo Id,, waaambieni waashe zote![]()

Sema wanapata wanawake sio wake,Kumbe kuna watu wanapata wake humu? Sasa mm nakwama wapi Pau Bae ?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kwa nn isiwe wake? What's the differentSema wanapata wanawake sio wake,
Wake katafute kijijini kwenu,

Mke akatafute kijijini kwao

Sasa itakuwajeWake katafute kijijini kwenu,
Kilakukukunaanaemfugasasajichanganye![]()

Nipo kijijini kwenu hapaMke akatafute kijijini kwao![]()

Lazima simu ipekuliwe kwanza kama ipo na App ya jf umekosa mkeNipo kijijini kwenu hapa
Ndio kusema hata wewe
Kuna mlishiaji![]()


Mkae kwa password tu.Sasa itakuwaje![]()
Karibu nyumbani mulangira 😁😁🙏🏿
From nowhereLazima simu ipekuliwe kwanza kama ipo na App ya jf umekosa mke![]()

Wewe upo mtandaoni Kama hivi,unataka Kusema kwamba haufai kuwa mke just because upo online..yaani wake /mke anapatikana kijijini kusikko na jf? Not trueWake katafute kijijini kwenu,
Kilakukukunaanaemfugasasajichanganye![]()
Mkuu hbr yako..shikamooKaribu nyumbani mulangira 😁😁🙏🏿