Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kumbe kuna watu wanapata wake humu? Sasa mm nakwama wapi Pau Bae ?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Unakwama wewe Unatuuliza sisi tena mkuu!!!???
Tuendelee kuselfika wakuu acheni hizi porojo wa kukulana wakulane kwaraha zao wa kuselfika waselfike wa kupiga story wapige story, wa kuchekesha wachekeshe, wa kuburudika waburudike wa mapishi wafundishane mapishi wa kuwowana wawowane. Wa kupigiana pin wapigiane who cares???😏😏😏😏 Tusipangiane cha kuandika/ maisha!
Akili ku mkichwa.
 
Rip mzee wa Kirachacha
giphy.gif

View attachment 2330101
Masikini Mke wake wakulungwa wanaanza kumpenyezea jomonee!!

Anyways Apumzike anakostahili !
 
Back
Top Bottom