Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,221
- 183,074
Ndio ndiooooooo!!! Santo sana kipenzi!! Namie nikija kuwasalimia huko mjini kwenu unipodoe basi kipenzi 😉😉Kile kinachonifanya niishi mjini😊
View attachment 2324280
Ndio ndiooooooo!!! Santo sana kipenzi!! Namie nikija kuwasalimia huko mjini kwenu unipodoe basi kipenzi 😉😉Kile kinachonifanya niishi mjini😊
View attachment 2324280
Hebu huko naweee, muache Dejan wetu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na mzungu wenu mcheza mieleka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]!!
Khaaaaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakunipiga aje hapaa anipigeeeeee akimaliza atatulia turiiiiiii[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Wanijua mie sipotezi mudaaaa kwanza sijui kupigana mie
Khakhakhaaaa!!Khaaaaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jiraniiii😍
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuja dada angu, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti mdabuko wa mkopo na mafungu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]karibu Mdogo wangu
Kids wanasomaaaa. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Have a good time and enjoy your chat guys!
Much love and respect from Antonnia [emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Naingia class kwanzaa!!
Insecurity ndio inferiority complex eeh? Janga kubwa sana ilo kwa watanzania 😂Nothing serious my dear, was just chit chat kama jukwaa linavyosema.
Insecurity ndio inasumbua watu
Pole sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wala hata mbna, mie sija connect dots, najua anto si coach wa spaz bhana, mpira unanivurugaa mnooooo.
Yees darling ndio hiyo hiyo.Insecurity ndio inferiority complex eeh? Janga kubwa sana ilo kwa watanzania 😂
nakumbuka hako ka ugonjwa kalinitesaga week karibia nzima,, tokea hapo nikajiapiza sirudiii kumkasirikia mtu, maana ukimnunia mtu wallah balaa unalipata wewe mnunaji 😂😂😂
Yule dada yeye ndio alinikosea
Ila akaomba samahani
Me nikajitia kuvimba
Na yeye akanigwaya .. ni salamu tu ya morning
Sasa nikaanza kujishtukia bila sababu 🤣🤣
Weee me nimejifunza sana kuyatizama mambo na kuyaacha kama siyaoni
Acha roho ya kwaniniUshindweeee
Kwa jena la yesoooo
Li zuriInasemekana majobless ndio uwa wanashinda hapa,, itakuwa wamepata kazi ya sensa ndio wako bize [emoji23][emoji2960]
Mtu kama Lenie ni boss sana, akiwa busy sishangai..
Sisi pia wengine na kina Wigelekelo ni mabosssssss huku kwa muhindi, kuna nyakati tunakuwa bize balaaa
Afu kuna wale wa matipo Id,, waaambieni waashe zote [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]Halafu si kwamba hawaingiii wanaingia vizuri na kuchungulia chungulia tu kama wafungwaa humu!! Wakipigwa kwenye mishono ndio wanakurupuka huko waliko heheheeeeee ! This is Jf!
Boss kubwa 🤣🤣🤣 leo kazi zimepungua ndio umekuja??Li zuri
Nimekumiss kinyama[emoji1787]
Upo poa Bi mdash wangu[emoji848]