Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Nakupenda pia [emoji176]Uwe na siku tulivu kipenzi.. Nakupenda [emoji8][emoji8]
Nakupenda pia [emoji176]Uwe na siku tulivu kipenzi.. Nakupenda [emoji8][emoji8]
Endelea bossNiendelee ama nisiendelee??
Leo ni mwendo wa #halotel# tuu
Ingiza vocha mamdo mmeambiwa leo mshindwe nyieeee!!Boss ubarikiwe Sema simu yangu haina chaji dahhh Sema nilichokipata kinanitosha ubarikiwe sana Mjep View attachment 2322803
Madam mzuri mzuri mkali wa mahesabu umekuja?Endelea boss
Habari ya likizo madam mwenye Shepu lake mjini [emoji8][emoji8]!!Endelea boss
Nimewamiss sana.Madam mzuri mzuri mkali wa mahesabu umekuja?
Umemisika sanaaaaaaa
Mwenye shepu ni wewe kipenzi. Mtoto Mashallah[emoji7][emoji7][emoji7].Habari ya likizo madam mwenye Shepu lake mjini [emoji8][emoji8]!!
Karibu sana jamani ukitususa unasusa kweri kweri!![emoji6]
Nipo nabadili location tu Madam Saivi nimekuja kumjulia hali Mshua kwanza !!Mwenye shepu ni wewe kipenzi. Mtoto Mashallah[emoji7][emoji7][emoji7].
Likizo wapi dear, hamna hata cha likizo.
Upo poa lakini?
Leo speed yenu tu wenye halotel madam mmeambiwa msitoke hapo mihalotel yajaaaa!!Nimewamiss sana.
Ila halotel ilichonifanyia. Kitu kina load tu hadi ikawahiwa.
Usitoke madam endelea kukodoa jicho tu hapa mzigo unashuka wa kutosha leo ni suala la muda tuNimewamiss sana.
Ila halotel ilichonifanyia. Kitu kina load tu hadi ikawahiwa.
Safi sana. Chukua baraka zote huko za wazazi. Vipi Bi Mkubwa?Nipo nabadili location tu Madam Saivi nimekuja kumjulia hali Mshua kwanza !!
Mungu ni mwema niko vyedi kabisa dear!!
Hakika nikikosa hata moja ndio nitakuwa na mkosi.Leo speed yenu tu wenye halotel madam mmeambiwa msitoke hapo mihalotel yajaaaa!!