Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,221
🤣🤣🤣 kuna muda unafikia unakuta hujisikiii kuchat na strangers,,🤣🤣🤣
Yaani mambo mengi muda mchache
Upo?
Nikajua ushafall in love huko umepigwa pini kupost.
Tumekutafuta sana na jirani myoyambendi
🤣🤣🤣 kuna muda unafikia unakuta hujisikiii kuchat na strangers,,🤣🤣🤣
Yaani mambo mengi muda mchache
Upo?
Nikajua ushafall in love huko umepigwa pini kupost.
Tumekutafuta sana na jirani myoyambendi
Na akutumie tu kwa kweli, maana siku hizi kuna vumbi sana… kasije pauka hakajafika hata Kikatiti 😂😂😂😍😍😍
Kitu imekaa mahala pake didi😍
Changu nimeomba nitumiwe tu kabla hakijapaukia huko
Vihela kidogo unaita wenzako strangers.🤣🤣🤣 kuna muda unafikia unakuta hujisikiii kuchat na strangers,,
Mpe hi black mambaByeeee Lonely pipo 🤣🤣🤣🤸🏻♀️🤸🏻♀️🤸🏻♀️
Niende sasa wasap kubebika 😋😋
Mlale salama,,
Aisee...alooo!
Una uphaller mob 🤣🤣🤣🤣🤣Mpe hi black mamba
Nono imeenda univasiti😍Na akutumie tu kwa kweli, maana siku hizi kuna vumbi sana… kasije pauka hakajafika hata Kikatiti 😂😂😂
Nono nayo imesuport kitu ikae kwa utulivu 🤭
Hahaha, naona unarusha makombora gizani. Ngoja wateule wapeane mambo bwana.Halafu si kwamba hawaingiii wanaingia vizuri na kuchungulia chungulia tu kama wafungwaa humu!! Wakipigwa kwenye mishono ndio wanakurupuka huko waliko heheheeeeee ! This is Jf!
Mwambie sijabadili no, asinisuse hivyo bana😂Una uphaller mob 🤣🤣🤣🤣🤣
Bosi Lenie habari ya sahii ✋✋?? Hope weekend iko vyedi huko!!Nono imeenda univasiti😍
Eeh nitamkazania kwakweli
Wooow niiiiiiiice 😘
Jamaniiiiii!!!Halafu si kwamba hawaingiii wanaingia vizuri na kuchungulia chungulia tu kama wafungwaa humu!! Wakipigwa kwenye mishono ndio wanakurupuka huko waliko heheheeeeee ! This is Jf!
😂😂😂 kwa ubosi gani, nimepauka mieBosi Lenie habari ya sahii ✋✋?? Hope weekend iko vyedi huko!!
Mtoto mzuri Saint Anne