Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Pole sana

Antony Taylor ni refa..
Coach ni Conte

Wote waduanzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mie sijasemeaa huyo Refa, sasa uduanzi wangu upi????

Sitakiiiiiiiiii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mie sijasemeaa huyo Refa, sasa uduanzi wangu upi????

Sitakiiiiiiiiii.
Waduanzi huyo Antony na mwenzake Conte.. hao wote waduanzi

Aahaha dogo?? 😂😂😂😂😂 comments za jf zisome kwa umakini ujue? Zinaweza kukufanya watu waone hauna akili timamu
 
Yees darling ndio hiyo hiyo.
Inatesa mnoo usipokua makini kila kitu utahisi ni personal attack.

Pole didi ake but good thing umejifunza somo hapo na haitatokea tena.

Humu hua tunachat vitu vingi sanaaa na 75% hua ni jokes sababu ya mazoea yetu.

Hapa ni +ve vibes only
Ni huzuniiii 😭😭

Wenye huo ugonjwa niwatakie tu quick recovery maana madhara yake nayajua 😂😂😂
 
9B17CD4B-783B-496B-9497-B239CAB43EAE.jpeg
4011F5D8-6459-4DCF-82E0-37ABD337C072.jpeg
 
Waduanzi huyo Antony na mwenzake Conte.. hao wote waduanzi

Aahaha dogo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] comments za jf zisome kwa umakini ujue? Zinaweza kukufanya watu waone hauna akili timamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeh sana.
 
Back
Top Bottom