Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mie nimetoa maoni yangu nionavyo mimi kama limekugusa kula wembeee!! kama halikuhusu pita kushotoooo!! Tusipangiane cha kuandikia humu!
Kutokujiamini hakujawahi muacha mtu Salama!
Kwamba wewe ndie mwana selfika pepeako ama!! Wewe ndie una mbebez pekeako humuuu??? Mmmxxxiiieeewww! Jifunze kubalance shobooo pimbi wewe!!
✌🏻katika maisha usikubali kupoteza furaha yako sababu yamtu asie kujali wala usioneshe uzuni sababu ya mtu anae tangaza uadui katika maisha yako bila ya kumkosea sababu kuna watu awapendi kukuona hivo ulivo lakin wana sahau kuwa yote wanayo yaona katika maisha yako ni kwajili ya neema za mungu🙏🏼
 
JF woyeeeeeeeh!!! Mambo ya Maloveee!!!
Nehii
😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 Jana nilikuitaaaa sana shosss!! Humu mie 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Sitaki sitiresi za rejareja kabisa!! Anyway halafu na Carrasco putin wako siwezi kupigana mie niliwaita jana hamkujaa kushuhudiaaa live hahahaaa!!

Ebu nimind my fckng business niselfike Zangu miee!
 
Jaman siungenipigia simu tatizo laazizi wangu tulizo la moyo wangu Lovelovie anilining'ang'ania sana
 
✌🏻katika maisha usikubali kupoteza furaha yako sababu yamtu asie kujali wala usioneshe uzuni sababu ya mtu anae tangaza uadui katika maisha yako bila ya kumkosea sababu kuna watu awapendi kukuona hivo ulivo lakin wana sahau kuwa yote wanayo yaona katika maisha yako ni kwajili ya neema za mungu🙏🏼
Amenn Amen!! Barikiwa sana mamdo Kati ya siku zoootee leo umeongea point sana!!
Silence is the best answer ever!!

Tuendelee kuselfika ✌️✌️✌️!
 
kwani vipi?? Mbna naona mapicha picha tyuuh.
Shosss sitaki meneno mieeee!! 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌Hahahaaa!!
Naomba nitoke online kwa mudaaaaa nitarudi wewe na Carrasco putin mkimaliza kusoma viporo vya koments zenyuuu🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️
 
Kwa taarifa hii inawezekana kabisa mjukuu wako cocastic hajafika hicho super kilele, maana pamoja na mizagamuo yoote anayofanya anatafuta kilele cha 22

Mkuu hii mada inabidi tuianzishie izi kabisa kuna madini hapa vijana watapata, na huu mjadala ukae sawa kuna wadau washereheshaji ni muhimu wahudhurie
Kilele who?? Which? Where? When??

kilele mchezo.
 
Tujifunze kushona midomo yetu wana selfika kila mmoja ana mdomo na anajuaaa kuongea vilevile kujifanya wajuaji mashauzi classic kumbe watu wanatuchora tu shenze typee mbwaa malaya wakutupa kabisa pumbafuuuuuu!!!!!!
Mlete mthungu mlete mthungu 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom