ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,428
- 118,979
Najua kuotea vitu vizuri sana...
Najua kuotea vitu vizuri sana...
Hatari
Vyedi as well dear! Nafurahi kujua u bukheri wa afya!!😂😂😂 kwa ubosi gani, nimepauka mie
Weekend ndio tunaiaga aga hvyo, ila iko poa
Za wewe madam?
Hujambo...kapatikana🤣🤣🤣
Yaani mambo mengi muda mchache
Upo?
Nikajua ushafall in love huko umepigwa pini kupost.
Tumekutafuta sana na jirani myoyambendi
Safiii sana
Lizzy misosi😍
Safiii sana..na poke.
Wee jirani hio safi vipi?? Safi watu wakauane au safi ka selfii 😉😉😂 jirani jirani setake ushahidi mie!!🤣🤣🤣😂😂😂😂!Safiii sana..
🤣🤣🤣Wee jirani hio safi vipi?? Safi watu wakauane au safi ka selfii 😉😉😂 jirani jirani setake ushahidi mie!!🤣🤣🤣😂😂😂😂!
Everything gonna be okay mdogo wangu relaaaaaxxxxxxxx!!
Niko poa jirani, habari ya weweHujambo...kapatikana
Sawasawa jiraniNiko poa jirani, habari ya wewe
Kapatikana akapotea tena.
Ila muhimu tumejua yuko salama huko alipo
Sitoki hapa jirani 🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇😂🤣🤣🤣🤣