Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Upoje🤣🤣🤣🤣

Good girl, usisahau kusali kabla hujalala didi ake.
😂😂😂😂 niacheee nikaamshe id nyingine nijipeleke chesiii nikagombeze hewa… nina hasira na Antoni nyampua 🤣🤣🤣🤣

Shetani yuko online, mida hii ukilala bila kuomba unaweza jikuta alfajiri uko uvunguni
 
Depal ule wimbo nimekesha nao jana na leo siku nzima😍
Umeugusa mtima wangu
Shidaaaaa niii mekolea penzini
Shidaaa ni Babe uko moyonii
Nakupenda weeee
Nkutaka weeee
Kwake sijiwezi,, hadi jf sijii
Ooh My Loveee ❤️
5C34918F-BC6E-42AA-8107-8C768D1174CC.jpeg
 
😂😂😂😂 niacheee nikaamshe id nyingine nijipeleke chesiii nikagombeze hewa… nina hasira na Antoni nyampua 🤣🤣🤣🤣

Shetani yuko online, mida hii ukilala bila kuomba unaweza jikuta alfajiri uko uvunguni
Kwani ile id bado unayo, si ulisahau password 🤣🤣 nani kakukumbusha

Acha ukorofi bana, maugomvi wewe wa kishua hayakufai, huyo dawa yake ndogo. Leta no tumtumie ma😷 atadeal nae

Shetani sio poa kabisa
 
Mie nimetoa maoni yangu nionavyo mimi kama limekugusa kula wembeee!! kama halikuhusu pita kushotoooo!! Tusipangiane cha kuandikia humu!
Kutokujiamini hakujawahi muacha mtu Salama!
Kwamba wewe ndie mwana selfika pepeako ama!! Wewe ndie una mbebez pekeako humuuu??? Mmmxxxiiieeewww! Jifunze kubalance shobooo pimbi wewe!!
 
Kwani ile id bado unayo, si ulisahau password 🤣🤣 nani kakukumbusha

Acha ukorofi bana, maugomvi wewe wa kishua hayakufai, huyo dawa yake ndogo. Leta no tumtumie ma😷 atadeal nae

Shetani sio poa kabisa
Naifufua kwenye mambo za uswahili tu 😂😂

Byutiii byutiiii ngoja niwashe taa nijisnap niwawekee status 😂😂😂
 
Naifufua kwenye mambo za uswahili tu 😂😂

Byutiii byutiiii ngoja niwashe taa nijisnap niwawekee status 😂😂😂
🤣🤣🤣
Unaishi ushuani ujue

Em selfika, ila sio za black n white hatutaki
 
Sema Antony leo amejua kukera watu
Kama umeanzisha bifu na mtu si ujimwage 😫😫
Yanini kujibanza banza kama mchawi 😂😂😂

Ngoja niende instagram nikasome matusi ya waingereza 😫😫 Lenie
 
Back
Top Bottom