Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂😂😂 semeni kweli? Haki huo mwezi sitalala

Yule refa anatuhujumu sana,, si mara ya kwanza jana…

Sema nilipenda kocha wetu alivyomnawaaa Conte🤣🤣🤣 yan unaleta unafki afu unanishobokea ??

Weee Tuchel akamnawa live live,, cocha wao akapanick
Ikawa tenaWWE ya makocha 😂😂😂

Refa kaja kawalamba kadi 😂
Natamani kujua what’s next baada ya makocha kulamba kadi..
Sema uzi wa chelsea siendi ,, sitaki kukasirishwa 😂

Mpira ukiuzoea ni ulevi mwingine,, karibu chamani jamani..
Weee subiri niongee na jirani😁😁

Hee mambo ya mpira ndio yalinipita kushoto jaman, najionea kelele tu na majani🤣🤣
 
Sitaki 😂😂

Leo nina nyingine bana,, baadae utaona 📸

Hiyo ilikuwa 😷
Yaani kasema atazileta mwenyew, sijui mwaka gani mwee😂😂

Hahaa em ingia live nakusubiri.
Kwani 😷 ndio kila siku? Kha kanogewa
 
Back
Top Bottom