Aisee dah nomaWababa tunavyopata tabu hosteli za Magufuli [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mzee anawindaWababa tunavyopata tabu hosteli za Magufuli [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kinakupeleka Nini?!!Wababa tunavyopata tabu hosteli za Magufuli [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
AiseeWababa tunavyopata tabu hosteli za Magufuli 😅😅😅😅
Kwako pia uncle 😘😘Jioni njema wadau..
He! Jirani wapi hiyo...
Ilo vumbi limenikumbusha Makutupora 🤣Oii central zoniiiView attachment 2297848
🤣🤣 nangoja nikuwow hapa nje kamamaMmekuona Rudi kwa Gari[emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28]
Mmepigiwa simu hapa lecturer Yuko class na anatoa 5marks [emoji3526][emoji44][emoji44][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]uje keshoo[emoji1787][emoji1787] nangoja nikuwow hapa nje kamama
Antonnia naomba ufungue PM yako nilipe deni lakoAkili imetulia na umeridhika tu mamy!!
Kwani mjukuu Coca anabisha? Tena hicho ndo Harvard ya Japan na College yao ya Engineering inakaribiana tu na kwa wajuba wenyewe MIT.University of Tokyo alishasema kaka mkubwa Shimba ya Buyenze hapa
Ebu chambua vijana wa hapo😜
Ndio kwani kuna ingine ipi ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] NIT hii ya mabibo?? Hebu huko nawee.
Happy belated birthday mjukuu. Keki bado ipo au tuliochelewa tunajinunulia? Au ni hilo salio tunaliboost kidogo? [emoji16][emoji16]Ukishiba uporo wa cake na ukichek salio,linasoma hivi[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2297645