Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee Dogo ndo utufokee kisa ni mnyakiii? Na huyo wizoo unae ongea nae kwa cm, muambie tunataka mashangazi sie, hayupo kwa kujaza choo tyuuh.

Hahaha halafu sio mnyaki sasa 😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wizo nimechachukaaa.
 
Hizi style mbili hizi. .. Nadhani ndio kongwe zaidi duniani... Yaani huwa nawaza tu....
Nyoka ndio alifundisha bibi yetu Eva? Ama je, Bibi yetu Eva alifanya ugunduzi binafsi? Na je kwa babu yetu Adam walitumia ipi? Mshazari ama wima? Doggy n mende![emoji23]
3:41 AM?? 😁😁 Ndiyo ulikuwa umemaliza kupewa nn
 
Back
Top Bottom