cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,176
Baadae mambo maresh maresh, mda wetu ule ule.I miss u too aunt yangu badae naomba kaselfie basi
Baadae mambo maresh maresh, mda wetu ule ule.I miss u too aunt yangu badae naomba kaselfie basi
Ndo kipi hicho? Hebu unipe Docs?Hahaah unataka Uk
Nenda Chevening hasa kwa course yako hiyo
Huwa wanatoa scholarship
Chevening kipo Uingereza hukoNdo kipi hicho? Hebu unipe Docs?
Ngoja nitajaribu kuchimbua kwa undani zaidi. AhsanteeeehChevening kipo Uingereza huko
kinanatoa tuzo za kusoma nchini Uingereza kwa mwaka mmoja kwenye kozi ya shahada ya uzamili inayofadhiliwa kikamilifu.
Kuna manufaa mengi ya kuchaguliwa, ikiwa ni pamoja na ada za masomo zinazofadhiliwa kikamilifu, ufikiaji wa baadhi ya elimu bora zaidi duniani, fursa za kipekee za mitandao, na nafasi ya kuchunguza utamaduni mbalimbali wa Uingereza.
Kuna mtu namfahamu amesoma hapo na huwa anasaidia watu kuapply na ushauri maana si mchezo kupata . Alisema alipewa hadi nguo za kuvaa wakati wa baridi . Unaweza pata usikate tamaa huyu alipata fully funded .
KbisaBaadae mambo maresh maresh, mda wetu ule ule.
Fika British embassyNgoja nitajaribu kuchimbua kwa undani zaidi. Ahsanteeeeh
Natuma mwamvuli bas ili usiungue au unasemaje😅Umenikaliza hapa juani muda mrefu
Nitawahi....Kesho njoo tena utaliona
Tuma picha ndio nisiungue hapa 😩Natuma mwamvuli bas ili usiungue au unasemaje😅
Nilishawahi kuomba mara moja sikufanikiwa kipata. Form ya maombi ina vipengele vingi sana ambavyo vinahitaji umakini katika kuvijaza. Ukifanikiwa kusoma hapo unakuwa na fursa ya kufanya kazi kwenye mashirika yao yaliyopo nchini.Chevening kipo Uingereza huko
kinanatoa tuzo za kusoma nchini Uingereza kwa mwaka mmoja kwenye kozi ya shahada ya uzamili inayofadhiliwa kikamilifu.
Kuna manufaa mengi ya kuchaguliwa, ikiwa ni pamoja na ada za masomo zinazofadhiliwa kikamilifu, ufikiaji wa baadhi ya elimu bora zaidi duniani, fursa za kipekee za mitandao, na nafasi ya kuchunguza utamaduni mbalimbali wa Uingereza.
Kuna mtu namfahamu amesoma hapo na huwa anasaidia watu kuapply na ushauri maana si mchezo kupata . Alisema alipewa hadi nguo za kuvaa wakati wa baridi . Unaweza pata usikate tamaa huyu alipata fully funded .
Wee mie tena ntapata nafasi haraka sana. Ngoja niendeFika British embassy
Au kwa website yao
embassy.SieRewi 🤣🤣🤣🤣🏄♂️🏄♂️🏄♂️🤣🤣🤣🤣 unasemaaaa
Kumbe ana faida zaidi🤣🤣😁😁😁 nimeiba kwa bk
Aku 🤣🤣Kumbe ana faida zaidi🤣🤣
Naomba nipunguzie na mie basi
Utaweza wewe?Ngoja nitajaribu kuchimbua kwa undani zaidi. Ahsanteeeeh

Acha uchoyo😂Aku 🤣🤣
Pole sanaNilishawahi kuomba mara moja sikufanikiwa kipata. Form ya maombi ina vipengele vingi sana ambavyo vinahitaji umakini katika kuvijaza. Ukifanikiwa kusoma hapo unakuwa na fursa ya kufanya kazi kwenye mashirika yao yaliyopo nchini.
Kazi kwako dearieWee mie tena ntapata nafasi haraka sana. Ngoja niendeembassy.