Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwani mjukuu Coca anabisha? Tena hicho ndo Harvard ya Japan na College yao ya Engineering inakaribiana tu na kwa wajuba wenyewe MIT.

Juzi hapa nilikuona na jezi ya Clemson University. Umepata admission huko kupiga Ph.D yako? Ni chuo kizuri sana na miaka michache hapo nyuma walikuwa ndo wababe wa American College Football....Mchezo unaopendwa sana!

Ukija mitaa hiyo ya South Carolina tutafutane nkamu
Kumekuchaaaa, watu wa ulayaa hao, sasa sie wa Survey, tikutane south ipi? South mawasiliano??
ila babuuu jaman.
 
Kwani mjukuu Coca anabisha? Tena hicho ndo Harvard ya Japan na College yao ya Engineering inakaribiana tu na kwa wajuba wenyewe MIT.

Juzi hapa nilikuona na jezi ya Clemson University. Umepata admission huko kupiga Ph.D yako? Ni chuo kizuri sana na miaka michache hapo nyuma walikuwa ndo wababe wa American College Football....Mchezo unaopendwa sana!

Ukija mitaa hiyo ya South Carolina tutafutane nkamu 🙏🏿
Coca bado haamini
Huko sijafika chief nilikua namshawishi mjukuu wako cocastic apambane apate scholorship akapige kozi yake hapo clemson lkn naona hanielewi
 
Back
Top Bottom