Selfika na JF: Snap it. Show it

Uwiiiii ningezimia nikufwe kabisa🤣🤣

Hata sitaki kuimagine alifeel vipi maskini, hizi mambo za kuchanganya mafile sio kabisa

Mwenyew niliwah post status picha ambayo nilitakiwa nimtumie mtu, sasa nashangaa mbona hajibu na alikua online mida hiyo, nikasema nicheki labda haijaenda hee nakuta chat haina picha wee nilishtukaa😂
Bahati nzuri haikua picha mbaya
 
Msela mmoja fundi pikipiki aliwahi kupost status pic ya ub** , lengo ilikuwa ni kumtumia manzi mwanamke wake ambae walikuwa wana videocall.

Yeye alupost pic na description kabisa akidhani anaisindikiza pic na maneno kumbe kitu kinaenda viral, na alitulia muda mrefu bila kuifuta mpaka alipokuja kupigiwa na ndugu kuuliza imekuwaje ndo akashituka, kilichokuja kuharibu sikuhizi ni GB tsup hizi😂😂.
 
nlikua hata sijui mie lol.
 
Aisee
 
Ni mikocheni A na sio B maana uswazi msasani inaanzia magunia mwisho kule kwa wahaya!
 
Maskini🤣🤣🤣
Unaweza tamani ardhi ipasuke udumbukie huko upotelee mbali sio kwa hayo maswahibu

Hizo GB wasapu sio kabisa na wanaotumia ni wakuda sana😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…