Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Duhh basi usijalLitafika kweli maana lazima apasue kwa juu
Halfu napanda dala dala mie ..
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Duhh basi usijalLitafika kweli maana lazima apasue kwa juu
Halfu napanda dala dala mie ..
Haya ndugu
Shougaaa nasubir kuleee vocha.
Ngoja nkuhadisie siku rock city mall imefunguliwa kipind hicho bado nasoma o level naish kwa bimkubwa... Mama akanipa ka elf 50 nikafanye shopping ya vipodozi....... Nkadandia boda huyo nkazama ndani...... Nlivyonunua nunua vi shower gel sijui lotion nkachukua na ice cream nkatoka..... Ehhh kuangalia najiona nip geti jingine nkampgia mama nlichekwa sana nyumbani hyo siku.... Ikabid niwaulize Askari ndo kunielekeza njiaMsukuma una iPhone 14 pro max Tajiri wa kisukuma anayemiliki rock city mall
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Cocastic mrembo wanguMremboooooh, portable![]()
Ngoja nkuhadisie siku rock city mall imefunguliwa kipind hicho bado nasoma o level naish kwa bimkubwa... Mama akanipa ka elf 50 nikafanye shopping ya vipodozi....... Nkadandia boda huyo nkazama ndani...... Nlivyonunua nunua vi shower gel sijui lotion nkachukua na ice cream nkatoka..... Ehhh kuangalia najiona nip geti jingine nkampgia mama nlichekwa sana nyumbani hyo siku.... Ikabid niwaulize Askari ndo kunielekeza njia

yoooooo hakika ww ni msukuma Ngosha Sema ww msukuma wa mjini Sayings zako za leo mjomba!!Kila jambo lina mwisho wake au ? Na mwisho wa jambo moja huanza lingine

Eeh yani hadi aibuyoooooo hakika ww ni msukuma Ngosha Sema ww msukuma wa mjini
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Sema sshv umeshakua mjanja sana mtundu mtunduEeh yani hadi aibu
Dakika chache nakuwekea shoss anguShougaaa nasubir kuleee vocha.
Ngoja nkuhadisie siku rock city mall imefunguliwa kipind hicho bado nasoma o level naish kwa bimkubwa... Mama akanipa ka elf 50 nikafanye shopping ya vipodozi....... Nkadandia boda huyo nkazama ndani...... Nlivyonunua nunua vi shower gel sijui lotion nkachukua na ice cream nkatoka..... Ehhh kuangalia najiona nip geti jingine nkampgia mama nlichekwa sana nyumbani hyo siku.... Ikabid niwaulize Askari ndo kunielekeza njia

Hii kaka hiiUko poa kaka Mjep![]()
Yani sa hv mwanza nmekua najulikana kidg..... Naitwa Mrembo wa week

Na mimi nipo nasubiriiDakika chache nakuwekea shoss angu
Weeeeehh kumbe!!! Uko vizure mamy!!Yani sa hv mwanza nmekua najulikana kidg..... Naitwa Mrembo wa week![]()