Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23] Hamna mtu wangu wa nguvu.. nilikuwa nataka tu kukuchanganya SI unajua wakati mwingine nakuja hapa kutua stress zangu .. nakuwa opposite na Kila jambo.. kuachana SI jambo zuri napenda watu wakianzisha kitu Hadi wazikane..
Hahahhahahahha!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuachana kupo, ila ninapochoka watu wana achana afu wanakua na ukaribu km mwanzo, sijawahi elewa.
Hahahhahahahha... nahisi wewe unaelewa hilo shoss...unajiuliza hupati majibu yani unabaki tu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Ni changamoto sana!
 
🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌 weweeeee
Hujui tu yan hujui tuuuuuu
Kumbuka ile memes yako ya usiku 😂😂
Ingekua ni 1st time sawa, ila 100th time?
Aah emu relax didi ake🤣

Me niko hoves hapa
20220718_110152.jpg
 
Back
Top Bottom