Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,179
Niko msikitini namalizia ibada very soon najifotoaSouthern Highland
Hello… thank you for likes, ila uselfike basi..
Nimekuta notifications 123, 85% zote ni wewe![]()


Niko msikitini namalizia ibada very soon najifotoaSouthern Highland
Hello… thank you for likes, ila uselfike basi..
Nimekuta notifications 123, 85% zote ni wewe![]()


🤣🤣🤣😀😀 wapimie DNA mtoto akizaliwa
😄😄😄 Tuna test mitambo... Na kuanzisha plant kabisaMaisha ya digital broo dunia imebadilika sshv sasa utafanyaje sshv asilimia 70 ya ndoa za kibongo tumeshazalishana kabla ya ndoa
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Aisee..sawaKwahiyo nyie ndio mlimshika miguu hiyo siku alivyokuwa anapokea mbegu za papaa??
Mimba iwe ya papaa au vipi, mtoto akizaliwa ni wa nenga,
kwani alitumwa akalime kwenye shamba la mwenzie!!!
Allah akusamehe kwakweli.
Unaweza uziwa mbuzi kwenye gunia ni kutest mitambo KwanzaTuna test mitambo... Na kuanzisha plant kabisa
Wew mzuri aunt kamwili kanabebeka mm auntyako nabebwa na maombi tu hapa 😔Ujuri wawapi simu tu hizi zinatubeba🥳🥳😹😹😹😹😹
Ishapita hiyoAisee..sawa

Yan unaswali na simu pembeni? Inaruhusiwa??
tutakuchapa stiki 😍😍😍 emu tulia daa 💋💋Wew mzuri aunt kamwili kanabebeka mm auntyako nabebwa na maombi tu hapa 😔
Na baba, so ana Nenga Tronics? Nafikiri kachukua baadhi ya faida kachangia hata mavazi, jambo limrkamilika.Hivi harusi hajaigharamia Bibi harusi peke ake??
😄😄😄😄 Daah.. mambo ni mengi sana Hadi vichwa vinaumaUnaweza uziwa mbuzi kwenye gunia ni kutest mitambo Kwanza
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
umesoma hio kapsheni ya T-shirt😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅Yan unaswali na simu pembeni? Inaruhusiwa??
Haya niko hapa nasubiria







khaaaah🤣🤣Kwamba had tumbo lijae kwanzaUnaweza uziwa mbuzi kwenye gunia ni kutest mitambo Kwanza
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Saa Tisa hii huko msikitin anachota maji labdakhaaaah