Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwanamke umeishi nae, ume mtia na mimba, huyo kupeleka church ni sawa na kuoa mke wako tu.. ndoa au mke ni Kwa ambao hawajavuka mipaka yote ila ndio ivyo tunaishi faster sana
Maisha ya digital broo dunia imebadilika sshv sasa utafanyaje sshv asilimia 70 ya ndoa za kibongo tumeshazalishana kabla ya ndoa

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Mchungaji nae akaamua kutoa ya moyoni kuhusu swala la kufunga ndoa huku mtu akiwa mjamzito
Anadai kwamba ndoa hiyo inafungwa si ya watu wawili bali watatu, hivyo ni sawa na mtoto kafunga ndoa na wazazi wake na ni laana inatengenezwa maana mtoto kaoa au kuolewa na baba na mama yake

Ila pia wanaweza kutubu ili laana kama hiyo isimpate mtoto

Nadhani vijana walio kuwa pale kuna kitu wamejifunza kupitia kauli ile
Aisee..
 
Back
Top Bottom