Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Nipo nazuzura nyumbani kwa watu
Sipiki leo wewe je ?
Nipo nazuzura nyumbani kwa watu
Kwahapo sijui kwakweliNyie mimba ni ya Nenga, hebu tujiulize Papaaa alikuja lini, na kibendi kina mda gan??
Kungwi wa mchongo ebu nielewesheNyie Nandy ana haki ya kulia, kapitia mengi mnooo.
Ila ndoa tamuu, ukiona leo vile unaweza shawishi mtoto wa mama mkwe muende kanisani mkaape.
![]()

Kwenye ndoa yangu nitavaa gauni km la nandy nimelielewa kwakweli 🤭Yupo vizuri
Aah nime mmiss Vananessa kwenye fashion alikuwa ni motoo ingekuwa hii ndio ndoa sipati picha ingekuwaje
Khaaaa Leo siku ya kula viporo tu ni kupashaNipo nazuzura nyumbani kwa watu
Sipiki leo wewe je ?
Kwamba hiyo surgery ilifanyika mtoto akiwa tumboni au 😀😀Akifanana na nenga ujue wamemfanyia plastic surgery
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Kwahiyo nyie ndio mlimshika miguu hiyo siku alivyokuwa anapokea mbegu za papaa??Huku kitaa ndyo tulimtonya nenga oiii hiko kimimba sio chako ndyo maana mwili upo kwenye harusi akili ipo kwa papaa mukulu mopao
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Naomba kuwepo maana sio kwa hilo gauni ni zuri mnooKwenye ndoa yangu nitavaa gauni km la nandy nimelielewa kwakweli 🤭
Umesikia coca?
Mukulu Bilanga MopaoNyie mimba ni ya Nenga, hebu tujiulize Papaaa alikuja lini, na kibendi kina mda gan??

Dear, siku ya ndoa ya Vanessa ntakua mpambee, labda iwe huko ulayaa, au Kwingine, ila km Bongo? Lazima niwepooo nishuhudie,Yupo vizuri
Aah nime mmiss Vananessa kwenye fashion alikuwa ni motoo ingekuwa hii ndio ndoa sipati picha ingekuwaje
Kwamba hiyo surgery ilifanyika mtoto akiwa tumboni au![]()










Nenga anampenda mzazi mwenzake Sema mm nawajua wapare wabishi wakorofi kuachwa afu nandy yupo humu JF ngoja aone
Mdomo koma
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app




wasanii wengi wapooo humu.Wee lekchaaa mie nasubiri vocha, km hutaki kunipa useme, sio unajikausha tyuuh. Khaaah
Ooh vizuri ndugu
Shamba lilikuwa na mukulu fulan R.i.p mdomo komaKwahiyo nyie ndio mlimshika miguu hiyo siku alivyokuwa anapokea mbegu za papaa??
Mimba iwe ya papaa au vipi, mtoto akizaliwa ni wa nenga,
kwani alitumwa akalime kwenye shamba la mwenzie!!!


akachomoa 

Tena toka awamu ya, kwanza wakati akiwepo kwa WCB kuandaa wimbo wake na Domokayaaa.Mukulu Bilanga Mopao
Alishatindua![]()
Kwa life hili