MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 29,796
- 150,608
Hajapenda nandy kuolewa na nenga[emoji16]Wee nae acha bas kisirani kwa nandy, hata honey moon hawajaingia ushaanza nuksi khaaaah.
Nenga kashakubali sasa wee kwann uumie?? Acha hizo bhana.