Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dear, siku ya ndoa ya Vanessa ntakua mpambee, labda iwe huko ulayaa, au Kwingine, ila km Bongo? Lazima niwepooo nishuhudie,

Naomba kila siku Rotimi afanye kweli. Yaan hawa watu natamani wafunge ndo wanaendana mnooo.

Kwanza vee ana swaggzz na mjanja. Hajapoa km nandy.
Yule ndio msanii wangu bora wa muda woote nampenda sanaa hana mambo mengi nikazi tuu
 
Yule ndio msanii wangu bora wa muda woote nampenda sanaa hana mambo mengi nikazi tuu
Huwa najiuliza bila vee ningesikiliza hits za nan? Kuna muda nkajaribu kwa maua na Ruby, walaa moyo ukakataaa.

Nimebaki na mama buttah wangu, mcz akinoshooo.
 
Aweeee piga kelele kwa mpare wake na nenga wake Leo full kwichikwichi
IMG-20220716-WA0623.jpg

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Hongera kwao sana mungu awabariki kwenye maisha Yao ya ndoa
NB hata frola na Emma mbasha walianza hvyo hvyo mdomo huu jaman

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Wee nae acha bas kisirani kwa nandy, hata honey moon hawajaingia ushaanza nuksi khaaaah.

Nenga kashakubali sasa wee kwann uumie?? Acha hizo bhana.
 
Wee nae acha bas kisirani kwa nandy, hata honey moon hawajaingia ushaanza nuksi khaaaah.

Nenga kashakubali sasa wee kwann uumie?? Acha hizo bhana.
Nazingua tu hyo mimba ni ya nenga Kwanza nandy mpare mwenzangu hajawahi kuwa na mwanaume tofauti na nenga

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom