cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 117,945
- 192,515
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangazi mie utaniweza, kuna mtu aliwahi nambia, "wee siku ya kufa, malaika mtoa roho utampa heka heka hadi atachoka mwenyewe na kuamua kukuacha"Kwamba sisi tunaoandikia kulia kutufanyaje ukorofi[emoji17][emoji1]
Watu wana dhambiii.