cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,371
- 188,081
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kujibana weyee, nunua I4n fotini prooWeeee
Hiyo Hela Bora ninunue kiwanja[emoji38]
Nanunua cm Kali tu ila sio hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kujibana weyee, nunua I4n fotini prooWeeee
Hiyo Hela Bora ninunue kiwanja[emoji38]
Nanunua cm Kali tu ila sio hiyo
TuliaSelfika bhas
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah, yaan mtu una assume vile kwenye kiapo unajiliza wee, uko ndani ya shela kubwaa, aaah wacha bhanaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38] cocaaa nakuita mara 3[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kujibana weyee, nunua I4n fotini proo
Mweh pole aisee
Kwenye kufosi ni kweli, ila kwa sasa ni wana ndoa, tuwaombee kheri na mema.Kile kipare kinafosi penzi afu nenga Sema naye tambala mbovu tu mshipi wa vanga yani
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38] cocaaa nakuita mara 3
Nataka wenye vitambi sshvMweh pole aisee
Utapata kiportable chako
😀😀 wapimie DNA mtoto akizaliwaManeno yenye ukweli Ila machungu unafungaje ndoa una mimba billnas anawza Ile mimba isije kuwa ya papaa mukulu mopao koffie
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Hahaha kila la kheri
Kweli ni siku yake special ni haki yakeNyie Nandy ana haki ya kulia, kapitia mengi mnooo.
Ila ndoa tamuu, ukiona leo vile unaweza shawishi mtoto wa mama mkwe muende kanisani mkaape.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku kitaa ndyo tulimtonya nenga oiii hiko kimimba sio chako ndyo maana mwili upo kwenye harusi akili ipo kwa papaa mukulu mopao[emoji3][emoji3] wapimie DNA mtoto akizaliwa
Daaah wacha tusubiri tuone.
Nandy hajawahi kukosea kwenye mavazi.Kweli ni siku yake special ni haki yake
Na amejua kupendeza kweli
😀😀 na mtashangaa pale mtoto atakapo zaliwa ni copy ya baba yake yan BillnasHuku kitaa ndyo tulimtonya nenga oiii hiko kimimba sio chako ndyo maana mwili upo kwenye harusi akili ipo kwa papaa mukulu mopao
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Hapa ni Ulaya mashambani?.[emoji847][emoji847][emoji847]
View attachment 2292870
Nyie mimba ni ya Nenga, hebu tujiulize Papaaa alikuja lini, na kibendi kina mda gan??[emoji3][emoji3] na mtashangaa pale mtoto atakapo zaliwa ni copy ya baba yake yan Billnas
Yupo vizuriNandy hajawahi kukosea kwenye mavazi.
Yuko [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]