Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimecheka kwa nguvu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Jana rangi halisi ilikuwa ni ile clip ya pili…nilipitwa na ndio ilikuwa nzuri 😅 kuzidi hata za filita uongo?
Niliona responds zilikuwa pale sana..

Cuzzo wangu yule na wasap gb lake akaiiba akarepost 🤣🤣 ile ya kwanza na pili…

Leo tena nitakuwa live kuwaimbia 😜
He...nilipitwa kumbe.
 
Boss Kuna Siku unalala bila kumwagilia moyo[emoji1]
Shangazi sio hivyo, muulize huwa unalala kwako? Huyu baba yeye kila siku ni hotelin tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mna points 6 na goal 8.
Manyuaaaa mmeanza pre season na motooo.

Ngoja msimu uanzee mnaanza kupoteana tyuuh. Na Haaland kasema anawatakaaa.

Woyoooooooh. Naona hapo unakula good time.
Ahaaa manutd tunakuja vingine this season tutawashangaza. The time that I have on this earth should just be filled with good times[emoji4]
 
Ahaaa manutd tunakuja vingine this season tutawashangaza. The time that I have on this earth should just be filled with good times[emoji4]
Manyuaaaaa hiii ya capt maquire? Au ipi hiyo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hauko serious wee, yeaaaah fill wid good times, life z tuu short. Enjoyyyyyzzz.

Vocha sijasahau afu ujue.
 
Back
Top Bottom