Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tunakumbushana tu...
20220716_095129.jpg
 
Achana na Lovelovie huyu alikua mpambe tuuuu, hapa umefika mrembo na dada kashafanya yake
Nipewe nini mimi tena jamani
Nautangazia umma wa selfika mzungu ni wangu tuuu, ngojadogo Saint Anne aje aniandalie mistari nianze kushusha hapa mmoja baada ya mwingine
Sis Anne Saint Anne fanya namna dada🤗kwahiyo cheo cha mrs vocha kipo kwangu now au bado bado

Christine wifi ubarikiwe sanaa wifi akeee
 
Sis Anne Saint Anne fanya namna dada[emoji847]kwahiyo cheo cha mrs vocha kipo kwangu now au bado bado

Christine wifi ubarikiwe sanaa wifi akeee
Cheo ni chako mama angu usijisumbue na kununua vocha utakua unatumiwa kila siku asubui na mapema..... Ngoja wifi mkubwa aje akupe maelekezo mengine mazuri
 
Back
Top Bottom