Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hehee njoo unirob afu utajua jela pako aje…

Sina glass 🤣

Remoti gani tena shost na sina tv 😫 basi mnichangie 🤣🤣🤣😂
Na hii baridi, litanisaidia nikiwa huko jela😂

😂😂😂
Ila tv ni anasa, endelea tu kutokua nayo inasaidia kukuepusha na mengi🤣

Tutakupa tu mchango wa glass, ndio tusije kukutembelea ukatutengea maji ya kunywa kwa bakuli linanukia samaki😅
 
Back
Top Bottom