Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Na hii baridi, litanisaidia nikiwa huko jela😂

😂😂😂
Ila tv ni anasa, endelea tu kutokua nayo inasaidia kukuepusha na mengi🤣

Tutakupa tu mchango wa glass, ndio tusije kukutembelea ukatutengea maji ya kunywa kwa bakuli linanukia samaki😅
🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣😂😂😂

Nakosa Taarifa za nchi mjue? Emu fanyeni logistic bana

Samaki? Ni anasa 😁 mtasikia bakuli ina harufu ya tembele
 
Alinambia mpigie mjomba zxxx nikamwambia naomba namba yake 😂😂

Si ndio akashangaa.. hata namba huna?
We unasalimiaga ndugu zako kweli

Mama aliongea hiyo siku 😁
Ila hawa mama zetu wa kiafrika sijui kibongo ni wanapenda kucomplicate mambo jamani😂😂
Kitu kidogo ni watakikuza adi unajuta kwanini uliuliza.

Pole didi akeee😅😅
 
Back
Top Bottom