Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Anafinya eehAsante sis
Na nilienjoy kweli japo ziliumaa ila aliwezaa
Uliweza kukaa eeh , au alikuwa na mkono chap
binafsi mvivu wa kukaa
Anafinya eehAsante sis
Na nilienjoy kweli japo ziliumaa ila aliwezaa
Niko salama dearMiss you too wifi yangu kipenzi
mzima wewe?
Madam mremboNiko salama dear
Mungu mwema
Hapo kwenye kujinyonga 🏃♀️🏃♀️Wewe ni mrembo
Alafu ni mzuriiiiiiiiii
Wenye wivu wajinyonge tuuu hamna namna
yaan achaaAnafinya eeh
Uliweza kukaa eeh , au alikuwa na mkono chap
binafsi mvivu wa kukaa
Ewaaaaa......Eti wifi Mjep ndio kaka yako wa pekee au ni wapili
Eti wifi Mjep ndio kaka yako wa pekee au ni wapili


hebu ngoja kwanzaMungu mwema sana kakaMadam mrembo
Umeamkaje?
Tumejipanga kuanza msimu kwa fujoAweeeeee Lenie
Team ⚽️ tuanze kuongea lugha tofauti kuanzia August 5…
Afu wanaanza Arsenal
Nyieeee Wigelekelo tumuone giiiii Jesus 😍 View attachment 2292466
Nimeamka salama kabisa madam mzuri mzuriMungu mwema sana kaka
Za wewe?
Watu weweeeeeeee........😍😍😍😍hebu ngoja kwanza
Kumbe we ndo wifi angu special?
Kaka ni huyu tu Sina mwingine
Achana na Lovelovie huyu alikua mpambe tuuuu, hapa umefika mrembo na dada kashafanya yakeHaaaa mbona hukuniambia🏃♀️
Sitaki ugomvi na Lovelovie
Jana nikasubiri naked mpaka nikasinzia !!![]()



acha tu nilikua Niko njiani simu ikazima chaji leo mtafurahiHahahaha



..jamani ht 40yrs hujafika kaahhh!!!loohhhNaomba uwe unanipa info mapema za timu gani zinacheza, nisije danganywa venye sijui anything kuhusu mpira😂😂Aweeeeee Lenie
Team ⚽️ tuanze kuongea lugha tofauti kuanzia August 5…
Afu wanaanza Arsenal
Nyieeee Wigelekelo tumuone giiiii Jesus 😍 View attachment 2292466
😁😁 ushawahi niona!?Sio uongo
Wewe ni Li zuri