Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Achana na Lovelovie huyu alikua mpambe tuuuu, hapa umefika mrembo na dada kashafanya yake
Nipewe nini mimi tena jamani
Nautangazia umma wa selfika mzungu ni wangu tuuu, ngojadogo Saint Anne aje aniandalie mistari nianze kushusha hapa mmoja baada ya mwingine
Asaaannnteeeeeeehhhhhheeeeee !! Let our mzungu Alayna mutoto musuri enjoy to the fullest!!!!!!!!
Anything for our mr vocha na muzunguuuu kesho ukipata mwingine usiwazeeee machawa wako ulipo tyupoooo iiiiiiiiigggggweeeeeeeeeeeeeehhhh💃💃💃🤸🤸!!! in cocas voice 🤣😂😘!!
 
Back
Top Bottom