Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dodo 😂😂
Kulikoni didi
Ujumbe wako huu, refer jana😅
20220716_062051.jpg
 
Ujumbe wako huu, refer jana😅View attachment 2292285
Nimecheka kwa nguvu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Jana rangi halisi ilikuwa ni ile clip ya pili… na ndio ilikuwa nzuri 😅 kuzidi hata za filita uongo?
Niliona responds zilikuwa pale sana..

Cuzzo wangu yule na wasap gb lake akaiiba akarepost 🤣🤣 ile ya kwanza na pili…

Leo tena nitakuwa live kuwaimbia 😜
 
Eeh filter sio kabisa😂😂
Ila rangi yake ni nzuri sana, ningekua huko ningekurob aki😂

Tupe burudani, tena leo weekend tukiwa tunamwagilia moyo tunasindikiza na burudani murua kabisa😅
 
Back
Top Bottom