Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Nina zawad yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah.
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Nina zawad yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah.
Leo sikupiga picha.
Sasa mbna sijaona khaaaah, hauko serious wee.Cocastic wahi sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ipi hiyo?
Kwan ww Shem huvaagi nguo za shemejiEeh sijui hilo
Baki na viportable wako basi .
Mpka kifuani titi likachora[emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo ukivaa hips linachora?[emoji23]
Nitumie mimi mjukuu. Nitakuandikia recommendation letter nzuri sana. Nitasema mpaka unavyoporomosha matusi mtu akiingia kwenye anga zako; na kwamba hata wakiwa mia lazima utawasambaratisha tu. Hii ni quality nzuri kwenye organizations zenye hekaheka [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Haya wengine sie, hata kuwasogelea tyuuh wanasikia kichefu chefu, tutazoeana nao mda gan? Khaaaah tabu tupu. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣Mpka kifuani titi likachora[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Sasa unataka kila mtu ajue humu [emoji848][emoji848]Ipi hiyo?
Sijawahi aisee
Bora hiiMiss you too dear[emoji3531].... Za masiku?
Mwelewesheeee....Hahaha kwa vibonge utaenjoy [emoji23][emoji23]
Tinsley njoo umsimulie tyuuuuSasa mbna sijaona khaaaah, hauko serious wee.
Hongera sana kwa kupenda amaniNothing special!
Najaribu kutafuta amani na watu wote..
I just like your positive attitude.
Ndo namwambia hapaMwelewesheeee....
Kwamba vibonge ndiyo mpango mzima [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Sem kasema unaweza kujiandikia then yeye akasahisha makosa ya english yako mbovuNdo kanichosha kabisaaa, 3 pages kwa CV gan niliyonayo? Labda niwaandike na Ex wangu wote, kujazia hizo page, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pumzi kwani mashindano? [emoji15][emoji15]Ndo namwambia hapa
Japo anasema hawana pumzi
Sijui hapo kwa kuendelea
Dah! [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Sem kasema unaweza kujiandikia then yeye akasahisha makosa ya english yako mbovu